-
Waebrania 11:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Na ni nini zaidi nitakalosema? Kwa maana wakati utakosekana kwangu nikiendelea kusimulia juu ya Gideoni, Baraki, Samsoni, Yeftha, Daudi na vilevile Samweli na wale manabii wengine,
-