- 
	                        
            
            Waebrania 13:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        21 awape vifaa vyote vyema ili mfanye mapenzi yake, akitenda ndani yetu kupitia Yesu Kristo mambo yanayopendeza machoni pake, na awe na utukufu milele na milele. Amina. 
 
- 
                                        
- 
	                        
            
            Waebrania 13:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
- 
                            - 
                                        21 na awape nyinyi vifaa kwa kila jambo jema ili kufanya mapenzi yake, akifanya katika sisi kupitia Yesu Kristo lile ambalo linapendeza vema machoni pake; ambaye kwake kuwe utukufu milele na milele. Ameni. 
 
-