-
Waebrania 13:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 na awape nyinyi vifaa kwa kila jambo jema ili kufanya mapenzi yake, akifanya katika sisi kupitia Yesu Kristo lile ambalo linapendeza vema machoni pake; ambaye kwake kuwe utukufu milele na milele. Ameni.
-