-
Yakobo 3:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Basi, ulimi ni moto. Ulimi umefanywa kuwa ulimwengu wa ukosefu wa uadilifu miongoni mwa viungo vyetu, kwa maana huutia doa mwili wote na kuliwasha miali gurudumu la uhai wa asili na huo huwashwa miali na Gehena.
-