-
1 Petro 4:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Kwa maana wakati ambao umepita watosha kwenu kuwa mmefanyiza mapenzi ya mataifa wakati mlipoendelea katika vitendo vya mwenendo mlegevu, uchu, mazidio ya kunywa divai, sherehe zenye kelele za ulevi, mashindano ya kunywa, na ibada haramu za sanamu.
-