-
2 Petro 1:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Kwa sababu hiyo sikuzote ninakusudia kuwakumbusha mambo haya, ingawa mnayajua na mko imara katika kweli iliyo ndani yenu.
-
-
2 Petro 1:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa sababu hii nitakuwa sikuzote na mwelekeo kuwakumbusha nyinyi kuhusu mambo haya, ijapokuwa mwayajua hayo na mmewekwa imara katika kweli ambayo imo katika nyinyi.
-