-
2 Petro 1:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa sababu hii nitakuwa sikuzote na mwelekeo kuwakumbusha nyinyi kuhusu mambo haya, ijapokuwa mwayajua hayo na mmewekwa imara katika kweli ambayo imo katika nyinyi.
-