-
1 Yohana 2:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Ninawaandikia nyinyi, akina baba, kwa sababu mmekuja kumjua yeye aliye wa tangu mwanzo. Ninawaandikia nyinyi, wanaume vijana, kwa sababu nyinyi ni wenye nguvu na neno la Mungu hukaa katika nyinyi na mmemshinda mwovu.
-