-
1 Yohana 2:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Kwa habari yenu, acheni lile ambalo mmesikia tangu mwanzo likae katika nyinyi. Ikiwa lile ambalo mmesikia tangu mwanzo lakaa katika nyinyi, nyinyi pia mtakaa katika muungano na Mwana na katika muungano na Baba.
-