-
3 Yohana 10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Hiyo ndiyo sababu, nikija, hakika nitakumbuka kazi zake ambazo yeye huendelea kufanya, akipiga-piga domo juu yetu kwa maneno maovu. Pia, akiwa haridhiki na mambo haya, wala yeye mwenyewe hawapokei akina ndugu kwa staha, na wale wanaotaka kuwapokea yeye hujaribu kuwazuia na huwatupa nje ya kutaniko.
-