-
Yuda 7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Ndivyo pia Sodoma na Gomora na majiji yaliyo kando-kando yayo, baada ya hayo kuwa yamefanya uasherati kwa kuzidi mno na kutoka kwenda kufuatia mwili kwa ajili ya utumizi usio wa asili, katika namna ileile kama hao waliotangulia kutajwa, yamewekwa mbele yetu kuwa kielelezo cha kuonya kwa kupatwa na adhabu ya kihukumu ya moto udumuo milele.
-