-
Ufunuo 3:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Yeye ambaye hushinda atapambwa hivyo mavazi meupe ya nje; na hakika sitalifuta kwa vyovyote jina lake kutoka katika kitabu cha uhai, bali hakika nitalikiri jina lake mbele ya Baba yangu na mbele ya malaika zake.
-