-
Ufunuo 3:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 “‘Yeye ashindaye—hakika mimi nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, naye hakika kwa vyovyote hataenda kutoka katika hilo tena kamwe, nami hakika nitaandika juu yake jina la Mungu wangu na jina la jiji la Mungu wangu, Yerusalemu jipya lishukalo kutoka mbinguni kwa Mungu wangu, na jina langu jipya.
-