-
Ufunuo 5:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Nami nikaona katika mkono wa kuume wa Yeye aketiye juu ya hicho kiti cha ufalme hati-kunjo iliyoandikwa ndani na upande wa nyuma, imefungwa kwa kukazwa kwa mihuri saba.
-