-
Ufunuo 8:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Lakini saa hiyohiyo huyo malaika akachukua chombo cha uvumba, akakijaza baadhi ya moto wa madhabahu na kukivurumisha kwenye dunia. Na ngurumo zikatukia na sauti na meme na tetemeko la dunia.
-