-
Ufunuo 8:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Na jina la hiyo nyota laitwa Pakanga. Na theluthi moja ya maji ikageuka kuwa pakanga, na wengi kati ya wanadamu wakafa kutokana na hayo maji, kwa sababu yalikuwa yamefanywa kuwa machungu.
-