-
Ufunuo 9:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Naye akalifungua shimo la abiso, na moshi ukapanda kutoka hilo shimo kama moshi wa tanuri kubwa, nalo jua likatiwa giza, pia hewa, kwa moshi wa shimo.
-