-
Ufunuo 9:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Nao wakaambiwa wasidhuru mimea ya dunia wala kitu chochote cha kijani kibichi wala mti wowote, ila tu wanadamu wale wasio na muhuri wa Mungu juu ya vipaji vya nyuso zao.
-