-
Ufunuo 9:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Lakini wale wengine kati ya wanadamu ambao hawakuuawa kwa hizo tauni hawakutubu juu ya kazi za mikono yao, ili wasiabudu roho waovu na sanamu za dhahabu na fedha na shaba na mawe na miti, ambazo haziwezi kuona wala kusikia wala kutembea;
-