-
Ufunuo 12:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Naye akazaa mwana, wa kiume, atakayechunga mataifa yote kwa fimbo ya chuma. Na mtoto wake akanyakuliwa hadi kwa Mungu na kwenye kiti chake cha ufalme.
-