-
Ufunuo 13:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Nalo likasimama tuli juu ya mchanga wa bahari.
Nami nikaona hayawani-mwitu akipanda kutoka katika bahari, mwenye pembe kumi na vichwa saba, na juu ya pembe zake vilemba kumi, lakini juu ya vichwa vyake majina yenye kufuru.
-