-
Ufunuo 13:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Sasa yule hayawani-mwitu niliyemwona alikuwa kama chui, lakini miguu yake ilikuwa kama ile ya dubu, na kinywa chake kilikuwa kama kinywa cha simba. Na joka kubwa likampa huyo hayawani nguvu yake na hicho kiti chake cha ufalme na mamlaka kubwa.
-