-
Ufunuo 13:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Ikiwa yeyote amekusudiwa utekwa, yeye huenda zake katika utekwa. Ikiwa yeyote ataua kwa upanga, yeye lazima atauawa kwa upanga. Hapa ndipo humaanisha uvumilivu na imani ya watakatifu.
-