-
Ufunuo 13:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Naye hutumia mamlaka yote ya hayawani-mwitu wa kwanza mbele ya macho yake. Naye hufanya dunia na wale ambao hukaa ndani yayo kuabudu huyo hayawani-mwitu wa kwanza, ambaye pigo lake la kifo lilipona.
-