-
Ufunuo 13:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Naye akaruhusiwa kuipa pumzi sanamu ya hayawani-mwitu, ili hiyo sanamu ya hayawani-mwitu iseme na pia kusababisha wauawe wale wote ambao katika njia yoyote hawakutaka kuiabudu sanamu ya hayawani-mwitu.
-