-
Ufunuo 14:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Nao wanaimba kama kwamba wimbo mpya mbele ya hicho kiti cha ufalme na mbele ya viumbe hai wanne na wazee; na hakuna yeyote aliyeweza kuwa bingwa wa ule wimbo ila mia arobaini na nne elfu, ambao wamenunuliwa kutoka katika dunia.
-