-
Ufunuo 16:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Nami nikaona semi zisizo safi tatu zilizopuliziwa ambazo zilionekana kama vyura zikitoka katika kinywa cha joka kubwa na kutoka kinywani mwa hayawani-mwitu na kutoka kinywani mwa nabii asiye wa kweli.
-