-
Ufunuo 17:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Na huyo mwanamke alikuwa amepambwa nguo za rangi ya zambarau na nyekundu-nyangavu, na alikuwa amerembwa kwa dhahabu na jiwe lenye bei na lulu na mkononi mwake alikuwa na kikombe cha dhahabu kilichojaa mambo yenye kuchukiza sana na mambo yasiyo safi ya uasherati wake.
-