Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufunuo 17:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Mnyama wa mwituni uliyemwona alikuwako, lakini hayuko, na bado yuko karibu kupanda kutoka katika shimo refu lisilo na mwisho,*+ naye ataenda kwenye uharibifu. Na watu wanaokaa duniani ambao majina yao hayajaandikwa katika kitabu cha kukunjwa cha uzima+ tangu kuwekwa msingi wa ulimwengu watashangaa watakapoona jinsi yule mnyama wa mwituni alivyokuwako, lakini hayuko, na bado atakuwapo.

  • Ufunuo 17:8
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 8 Hayawani-mwitu uliyemwona alikuwako, lakini hayuko, na bado yuko karibu kupanda kutoka katika abiso, na ataondoka kwenda katika uharibifu. Na waonapo jinsi huyo hayawani-mwitu alivyokuwako, lakini hayuko, na hakika bado atakuwapo, wale ambao hukaa juu ya dunia watasifu kwa kumstaajabia, lakini majina yao hayajaandikwa juu ya hati-kunjo ya uhai tangu kuwekwa kwa msingi wa ulimwengu.

  • Ufunuo
    Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
    • 17:8 re 247-251; jv 93

  • Ufunuo
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 17:8

      Maswali ya Biblia Yajibiwa, makala 100

      Mnara wa Mlinzi (Funzo),

      5/2022, uku. 10

      Upeo wa Ufunuo, kur. 246-251

      Wapiga-Mbiu, uku. 93

      Mnara wa Mlinzi,

      6/1/1988, kur. 27-28

      9/1/1987, kur. 20, 29

      2/1/1986, uku. 4

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki