-
Ufunuo 19:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 kwa sababu hukumu zake ni za kweli na za uadilifu. Kwa maana ametekeleza hukumu juu ya kahaba mkubwa aliyeifisidi dunia kwa uasherati wake, na amelipizia kisasi damu ya watumwa wake mkononi mwake.”
-