-
Ufunuo 20:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 naye ataenda kuyapotosha yale mataifa yaliyo katika pembe nne za dunia, Gogu na Magogu, ili kuwakusanya pamoja kwa ajili ya vita. Idadi yao ni kama mchanga wa bahari.
-
-
Ufunuo 20:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 naye atatoka kwenda kuyaongoza vibaya yale mataifa katika pembe nne za dunia, Gogu na Magogu, kuyakusanya pamoja kwa ajili ya vita. Hesabu yayo ni kama mchanga wa bahari.
-