-
Ufunuo 20:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 naye atatoka kwenda kuyaongoza vibaya yale mataifa katika pembe nne za dunia, Gogu na Magogu, kuyakusanya pamoja kwa ajili ya vita. Hesabu yayo ni kama mchanga wa bahari.
-