-
Ufunuo 21:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Kwa hiyo akanichukua mbali katika nguvu ya roho hadi kwenye mlima mkubwa na ulioinuka juu sana, naye akanionyesha jiji takatifu Yerusalemu likiteremka kutoka mbinguni kutoka kwa Mungu
-