Mwanzo 16:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Ndipo Abramu akamwambia Sarai:+ “Tazama! Mjakazi wako yuko chini ya mamlaka yako. Mtendee yaliyo mema machoni pako.”+ Basi Sarai akaanza kumfedhehesha hivi kwamba akakimbia kutoka kwake.+ Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 16:6 Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),Na. 5 2017 kur. 13-14
6 Ndipo Abramu akamwambia Sarai:+ “Tazama! Mjakazi wako yuko chini ya mamlaka yako. Mtendee yaliyo mema machoni pako.”+ Basi Sarai akaanza kumfedhehesha hivi kwamba akakimbia kutoka kwake.+