Kutoka 33:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Musa naye akalichukua hema lake na kulipiga nje ya kambi, mbali na kambi; naye akaliita hema la mkutano. Na ikawa kwamba yeyote aliyekuwa akiuliza+ habari kutoka kwa Yehova alikuwa akienda nje kwenye hema la mkutano, lililokuwa nje ya kambi.
7 Musa naye akalichukua hema lake na kulipiga nje ya kambi, mbali na kambi; naye akaliita hema la mkutano. Na ikawa kwamba yeyote aliyekuwa akiuliza+ habari kutoka kwa Yehova alikuwa akienda nje kwenye hema la mkutano, lililokuwa nje ya kambi.