-
Mambo ya Walawi 19:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 “‘Na ikiwa mnaingia katika nchi, na kuupanda mti wowote kwa ajili ya chakula, mtayaona matunda yake kuwa machafu kama “govi” lake. Kwa miaka mitatu utakuwa haujatahiriwa kwenu. Hayataliwa.
-