Mambo ya Walawi 20:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 “‘Na mwanamume akilala na mwanamke mwenye hedhi na kuufunua uchi wake, ameifunua chemchemi yake, naye mwanamke huyo ameifichua chemchemi ya damu yake.+ Kwa hiyo wote wawili watakatiliwa mbali kutoka katikati ya watu wao. Mambo ya Walawi Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 20:18 Ufahamu, uku. 372 Mnara wa Mlinzi,6/1/1989, uku. 14
18 “‘Na mwanamume akilala na mwanamke mwenye hedhi na kuufunua uchi wake, ameifunua chemchemi yake, naye mwanamke huyo ameifichua chemchemi ya damu yake.+ Kwa hiyo wote wawili watakatiliwa mbali kutoka katikati ya watu wao.