Mambo ya Walawi 26:37 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 37 Na hakika wao watajikwaa juu ya mmoja na mwenzake kana kwamba ni kutokana na upanga pasipo mtu yeyote kufuatilia, nanyi hamtakuwa na uwezo wowote wa kusimama na kuwapinga adui zenu.+
37 Na hakika wao watajikwaa juu ya mmoja na mwenzake kana kwamba ni kutokana na upanga pasipo mtu yeyote kufuatilia, nanyi hamtakuwa na uwezo wowote wa kusimama na kuwapinga adui zenu.+