-
Hesabu 23:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Basi akaja kwake, na, tazama! alikuwa amesimama kando ya toleo lake la kuteketezwa, na wakuu wa Moabu pamoja naye. Ndipo Balaki akamwambia: “Yehova amesema nini?”
-