Kumbukumbu la Torati 3:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 mpaka Yehova atakapowapa ndugu zenu pumziko, kama ninyi, nao pia wawe wamemiliki nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa ng’ambo ya Yordani; ndipo mtakaporudi, kila mmoja kwenda kwenye miliki yake ambayo nimewapa ninyi.’+
20 mpaka Yehova atakapowapa ndugu zenu pumziko, kama ninyi, nao pia wawe wamemiliki nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa ng’ambo ya Yordani; ndipo mtakaporudi, kila mmoja kwenda kwenye miliki yake ambayo nimewapa ninyi.’+