Kumbukumbu la Torati 21:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 “Ikiwa mtu atapatikana akiwa ameuawa katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa uimiliki, akiwa ameanguka uwanjani, na haijajulikana ni nani aliyempiga na kumuua,+
21 “Ikiwa mtu atapatikana akiwa ameuawa katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa uimiliki, akiwa ameanguka uwanjani, na haijajulikana ni nani aliyempiga na kumuua,+