Kumbukumbu la Torati 21:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 na kuvua nguo ya kujitanda ya utekwa wake, akae katika nyumba yako, amlilie baba yake na mama yake kwa mwezi mzima;+ na baada ya jambo hilo utalala naye, nawe utamchukua awe bibi-arusi wako, naye atakuwa mke wako.
13 na kuvua nguo ya kujitanda ya utekwa wake, akae katika nyumba yako, amlilie baba yake na mama yake kwa mwezi mzima;+ na baada ya jambo hilo utalala naye, nawe utamchukua awe bibi-arusi wako, naye atakuwa mke wako.