1 Samweli 1:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Ndipo Hana akasimama baada ya wao kula huko Shilo na baada ya kunywa, huku Eli kuhani akiwa ameketi juu ya kiti kilicho kando ya mwimo wa mlango wa hekalu+ la Yehova. 1 Samweli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 1:9 w07 3/15 15 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:9 Mnara wa Mlinzi,3/15/2007, uku. 15
9 Ndipo Hana akasimama baada ya wao kula huko Shilo na baada ya kunywa, huku Eli kuhani akiwa ameketi juu ya kiti kilicho kando ya mwimo wa mlango wa hekalu+ la Yehova.