1 Samweli 28:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Sasa yule mwanamke akamjia Sauli, akaona kwamba alikuwa na wasiwasi sana. Kwa hiyo akamwambia: “Tazama, mjakazi wako ameitii sauti yako, nami nikaitia nafsi yangu mkononi mwangu+ na kuyatii maneno uliyoniambia.
21 Sasa yule mwanamke akamjia Sauli, akaona kwamba alikuwa na wasiwasi sana. Kwa hiyo akamwambia: “Tazama, mjakazi wako ameitii sauti yako, nami nikaitia nafsi yangu mkononi mwangu+ na kuyatii maneno uliyoniambia.