2 Samweli 3:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Papo hapo Abneri akatuma wajumbe kwa Daudi, akisema: “Je, nchi hii ni ya nani?” na kuongezea: “Fanya agano lako pamoja nami, na tazama! mkono wangu utakuwa pamoja nawe ili kuwageuza Israeli wote wawe upande wako.”+
12 Papo hapo Abneri akatuma wajumbe kwa Daudi, akisema: “Je, nchi hii ni ya nani?” na kuongezea: “Fanya agano lako pamoja nami, na tazama! mkono wangu utakuwa pamoja nawe ili kuwageuza Israeli wote wawe upande wako.”+