2 Samweli 3:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Kisha Abneri akasema pia masikioni mwa Benyamini,+ halafu pia Abneri akaenda kusema masikioni mwa Daudi kule Hebroni yote yaliyokuwa mema machoni pa Israeli na machoni pa nyumba yote ya Benyamini.
19 Kisha Abneri akasema pia masikioni mwa Benyamini,+ halafu pia Abneri akaenda kusema masikioni mwa Daudi kule Hebroni yote yaliyokuwa mema machoni pa Israeli na machoni pa nyumba yote ya Benyamini.