-
2 Samweli 12:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Na ikawa katika siku ya saba yule mtoto akafa. Nao watumishi wa Daudi wakaogopa kumwambia kwamba mtoto amekufa; kwa maana walisema: “Tazama! Mtoto alipokuwa hai hatukusema naye, wala yeye hakuisikiliza sauti yetu; basi tunawezaje kumwambia, ‘Mtoto amekufa’? Ndipo hakika atafanya jambo baya.”
-