2 Samweli 18:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Mwishowe wakamchukua Absalomu, wakamtupa msituni ndani ya shimo kubwa, wakarundika juu yake fungu kubwa sana la mawe.+ Lakini Israeli wote wakakimbia, kila mtu akaenda nyumbani kwake.
17 Mwishowe wakamchukua Absalomu, wakamtupa msituni ndani ya shimo kubwa, wakarundika juu yake fungu kubwa sana la mawe.+ Lakini Israeli wote wakakimbia, kila mtu akaenda nyumbani kwake.