2 Mambo ya Nyakati 29:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Ndipo Hezekia akasema dhabihu ya kuteketezwa itolewe juu ya madhabahu; na wakati lile toleo la kuteketezwa lilipoanza, wimbo+ wa Yehova ukaanza na pia tarumbeta, chini ya mwelekezo wa vyombo vya Daudi mfalme wa Israeli.
27 Ndipo Hezekia akasema dhabihu ya kuteketezwa itolewe juu ya madhabahu; na wakati lile toleo la kuteketezwa lilipoanza, wimbo+ wa Yehova ukaanza na pia tarumbeta, chini ya mwelekezo wa vyombo vya Daudi mfalme wa Israeli.