12 Na sasa ninyi msiwape wana wao binti zenu,+ wala binti zao msiwakubali kwa ajili ya wana wenu; nanyi msiwatakie amani wala mafanikio+ mpaka wakati usio na kipimo, ili mpate nguvu+ na mle mema ya nchi na kuimiliki kwa ajili ya wana wenu mpaka wakati usio na kipimo.’+